Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mgombea Kawe avunja Watu mbavu, ajinadi kwa kutumia kichina

Screenshot 2020 07 21 At 12.14.17 660x400.png Mgombea Kawe avunja Watu mbavu, ajinadi kwa kutumia kichina

Tue, 21 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Uchaguzi wa kura za maoni kwenye Jimbo la Kawe Dar es salaam uko hewani sasa hivi na ni muda wa Watia nia kujinadi ambapo Mtia Nia namba 75 ni miongoni mwao ambapo aliamua kutumia lugha ya kichina kufikisha ujumbe wake, mtazame kwenye hii video hapa chini

View this post on Instagram

Uchaguzi wa kura za maoni kwenye Jimbo la Kawe Dar es salaam uko hewani sasa hivi na ni muda wa Watia nia kujinadi ambapo Mtia Nia namba 75 ni miongoni mwao ambapo aliamua kutumia lugha ya kichina kufikisha ujumbe wake.

Chanzo: millardayo.com