Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mgombea CCM ashinda uchaguzi mdogo Ngorongoro

2c6d6f806bd1c6aeceb9d92f02d8f184.jpeg Emmanuel Shangai, Mbunge wa Ngorongoro

Sun, 12 Dec 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mgombea Ubunge jimbo la Ngorongoro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Emmanuel Shangai ameibuka kidedea katika uchaguzi mdogo uliofanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Uwekezaji, William Ole Nasha.

Mgombea Ubunge jimbo la Ngorongoro kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Emmanuel Shangai ameibuka kidedea katika uchaguzi mdogo uliofanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Uwekezaji, William Ole Nasha. Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Ngorongoro Dk. Jumaa Mhina amemtangaza Shangai kuwa Mbunge Mteule wa Jimbo hilo baada ya kupata kura 62,017 dhidi ya wagombea wenzake wa ACT Wazalendo aliyepata kura 170 na Saimon Ngilisho wa Demokrasia Makini aliyepata kura 105.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live