Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Meya, Mkurugenzi Kinondoni Wavurugana Mkutanoni - Video

Video Archive
Thu, 20 May 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

MKURUGENZI wa Manispaa ya Kinondoni na Meya wamefarakana baada ya kuibuka kwa hoja kutoka kwa mmoja wa madiwani ya viongozi wa Serikali waliokamatwa hivi karibuni kwa kudaiwa kufuja fedha za makusanyo ya Serikali na kuswekwa ndani ambapo wakati akijibu hoja hizo mkurugenzi amesema kuwa aliagiza vyombo vya ulinzi viwakamate kutoka na ubadhilifu wa fedha hizo.

MKURUGENZI wa Manispaa ya Kinondoni na Meya wamefarakana baada ya kuibuka kwa hoja kutoka kwa mmoja wa madiwani ya viongozi wa Serikali waliokamatwa hivi karibuni kwa kudaiwa kufuja fedha za makusanyo ya Serikali na kuswekwa ndani ambapo wakati akijibu hoja hizo mkurugenzi amesema kuwa aliagiza vyombo vya ulinzi viwakamate kutoka na ubadhilifu wa fedha hizo. Mkurugenzi amekazia kwamba yeye anatekeleza majukumu yake katika kuhakikisha anatekeleza wajibu wake. Pia akasema vikao vya madiwani vimekuwa vikimjadili kwa maslahi yao binafsi na ndipo mgogoro ukaibuka ndani ya kikao cha baraza la madiwani.

Chanzo: globalpublishers.co.tz