Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Membe atangaza kuwani Urais kwa kushirikiana na Upinzani

Membe 1?fit=800%2C445 Bernad K. Membe

Fri, 17 Jul 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani Tanzania, Bernard Membe, amekubali kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo na kwamba huo ni wakati muafaka kwake wa kushiriki mazungumzo na Vyama vingine ili waweze kusimamisha mgombea mmoja.Kuupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter Membe ameandika

Waziri wa Mambo ya Nje wa zamani Tanzania, Bernard Membe, amekubali kuwania nafasi ya Urais wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo na kwamba huo ni wakati muafaka kwake wa kushiriki mazungumzo na Vyama vingine ili waweze kusimamisha mgombea mmoja.Kuupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter Membe ameandika “Jana niliombwa na leo nimekubali rasmi kugombea nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, huu ni wakati muafaka kwangu wa kushiriki katika mazungumzo na vyama vingine kama CHADEMA ili tusimamishe ‘Kisiki cha Mpingo’ kimoja!”.

Chanzo: zanzibar24.co.tz