Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mdee na wenzake 'watinga' tena Bungeni

MDEE WAONEKANA (600 X 315) Mdee na wenzake waonekana tena Bungeni

Thu, 23 Jun 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baadhi ya Wabunge wa viti maalumu ambao walivuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa Bungeni kushiriki Mkutano wa saba kikao cha 50.

Baadhi ya Wabunge wa viti maalumu ambao walivuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wakiwa Bungeni kushiriki Mkutano wa saba kikao cha 50. Jana Mahakama Kuu Dar es Salaam ilitupa ombi la wabunge 19 kupinga uamuzi wa Chadema kuwavua uanachama kutokana na kasoro katika jina la mjibu maombi wa kwanza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live