Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mdee, Matiko Wahudhuria Mazishi ya Magufuli Chato - Video

Video Archive
Fri, 26 Mar 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mdee, Matiko Wahudhuria Mazishi ya Magufuli Chato – Video March 26, 2021 by Global Publishers

WABUNGE wa Viti Maalum kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Halima Mdee pamoja na swahiba wake, Esther Matiko wamefika katika Viwanja vya Magufuli kuungana na familia, viongozi, wananchi na waombolezaji wengine katika ibada ya maziko ya aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli leo Ijumaa, Machi 26, 2021.

Chanzo: globalpublishers.co.tz