Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbunge wa zamani Bwege atembelea Bungeni &"Halina uchangamfu"(+picha)

1I4A9609 660x400 Mbunge wa zamani Bwege atembelea Bungeni &"Halina uchangamfu"(+picha)

Tue, 29 Jun 2021 Chanzo: millardayo.com

Mbunge wa Zamani, Selemani Bungara maarufu kama Bwege leo ni miongoni mwa wageni waliotembelea bunge kujionea shughuli mbalimbali za bunge. Akiwa nje ya ukumbi wa Bunge Bwege alipata nafasi ya kuzungumza na waandishi wa habari.

“Kuna tofauti ya Bunge letu na hili, wingi wao naona hakuna uchangamfu wa bunge lakini wanajitahidi kwa sababu Mama Samia amewaambia waseme wanavyotaka kusema kwa hiyo wanajitahidi wanasema, kutokana na siasa ilivyobadilika inawezekana nikaingia tena kwenye kinyang’anyiro lakini ingekuwa siasa zile nisingeingia siasa za mama ni tofauti”-Selemani Bungara





KAULI YA MDUDE: NITATEMA NYONGO
Chanzo: millardayo.com