Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbunge amtaka Dk Ndugulile anusuru ndoa za wapiga kura wake

Ndoa Ed Mbunge amtaka Dk Ndugulile anusuru ndoa za wapiga kura wake

Thu, 20 May 2021 Chanzo: ippmedia.com

Idd amesema hayo leo Mei 19 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari kwa mwaka 2021/2022.

Amesema wakazi wa baadhi ya Kata katika Jimbo lake wanalazimika kwenda milimani kupata mawasiliano ya simu, ambapo huko wanakutana michepuko hivyo kuwa na hatari ya kuvunjika kwa ndoa zao.

“Wakina baba wapo katika hatihati ya ndoa zao kuvunjika, wakinamama halikadhalika wasaidie mpeleke mawasiliano huko,”amesema Idd.

Chanzo: ippmedia.com