Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbunge alia na barabara na madaraja mabovu Jimboni kwake (+video)

Video Archive
Wed, 19 May 2021 Chanzo: millardayo.com

Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe, Salim Alaudin Hasham ameiomba Serikali kumaliza kilio Cha Muda mrefu Cha wananchi wa Jimbo hilo kwa kuwajengea barabara ya kiwango cha lami kutoka kidatu mpaka Mahenge chenye umbali wa Km 67 kwani ipo kwenye ilani ya uchaguzi.

Mbunge wa Jimbo la Ulanga Mhe, Salim Alaudin Hasham ameiomba Serikali kumaliza kilio Cha Muda mrefu Cha wananchi wa Jimbo hilo kwa kuwajengea barabara ya kiwango cha lami kutoka kidatu mpaka Mahenge chenye umbali wa Km 67 kwani ipo kwenye ilani ya uchaguzi. Aidha Salim pia ameongelea changamoto wanayoipata wananchi wa kata ya ketaketa kutokana na daraja la ikangao ambalo Ni tatizo kubwa wananchi hao amabao wanajihusisha zaidi na kilimo.

Chanzo: millardayo.com