Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbunge Shabbiy:"Waongezeni Mishahara Watumishi"

Shabib Mbunge Shabbiy:"Waongezeni Mishahara Watumishi"

Fri, 5 Nov 2021 Chanzo: globalpublishers.co.tz

Mbunge wa Gairo Ahmed Shabiby Novemba 4, 2021 wakati akichangia mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango wa Serikali wa 2022/23 uliowasilishwa Bungeni na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba.

“Waziri wa fedha fanya maarifa yako yote 2022 ujue vyanzo utapata wapi lakini hakikisha mishahara ya Watumishi inapanda, Watu wamezungumza maneno mengi sana sijui hela zimebanwa, katika utafiti wangu nilichogundua bila Watumishi kupandishiwa mishahara hali itazidi kuwa mbaya kwa Watu wote”

“Leo Watumishi miaka sita hawajaongezewa mishahara mnategemea hela itakuwepo mitaani wakati vitu vinapanda bei??” amesema Ahmedy Shabiby

Chanzo: globalpublishers.co.tz