Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbowe kufungua kongamano la Bawacha

Mbowe 255 255 Mbowe kufungua kongamano la Bawacha

Wed, 28 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Wanawake wa Chadema (BAWACHA), limeeleza kuwa litakwenda kuitumia Siku ya Wanawake Duniani kujadili masuala ya msingi kuhusu mustakabali wa wanawake hapa nchini.

Kauli hiyo imetolewa Jijini Dar es Salaam na Kaimu Mwenyekiti wa Bawacha Bi Sharifa Suleiman wakati alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari.

Bi Sharifa amesema kongamano hilo ambalo litafunguliwa na Mwenyekiti Taifa wa Chadema Freeman Mbowe litakutanisha Wanawake zaidi 40 kutoka mikoa mbalimbali nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live