Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbowe awavua uongozi viongozi wa Chadema Tanga

Freeman Mbowew Mbowe awavua uongozi viongozi wa Chadema Tanga

Wed, 8 Feb 2023 Chanzo: Mwananchi

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewavua uongozi Mwenyekiti wa Chama hicho na kamati yake ya utendaji Wilaya ya Tanga kwa kile kilichodaiwa kuwa wanawajibishwa ili kutoa nafasi ya kupata viongozi watakaokwenda na kasi ya chama hicho.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewavua uongozi Mwenyekiti wa Chama hicho na kamati yake ya utendaji Wilaya ya Tanga kwa kile kilichodaiwa kuwa wanawajibishwa ili kutoa nafasi ya kupata viongozi watakaokwenda na kasi ya chama hicho. Waliovuliwa uongozi ni Nuru Athumani aliyekuwa Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Tanga, Grace Mtote aliyekuwa Katibu wa chama hicho Wilaya ya Tanga pamoja na wajumbe wote wa kamati ya utendaji ya Wilaya ya Tanga.

Chanzo: Mwananchi