Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mbowe, Slaa waongoza maandamano Mbeya

Chadema 841598 Mbowe, Slaa waongoza maandamano Mbeya

Tue, 20 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe akiwa ameambatana aliyekuwa katibu Mkuu wa Chadema Dkt. Wilbrod Slaa wakiongoza maandamano ya chama hicho kutoka Mji wa Mbalizi kelekea katika Viwanja vya shule ya Msingi Ruanda Nzovwe Jiji Mbeya leo Februari 20/2024.

Chadema wanaongoza maandamano katika mikoa ya Nyanda za juu kusini yakiwa na lengo la kudai katiba Mpya, tume huru ya uchaguzi na kuitaka serikali ipunguze gharama za maisha

Chanzo: www.tanzaniaweb.live