Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maneno ya Lema baada ya kutomuona Ben Saanane na Lissu kuwa hospitali

Mon, 12 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo February 10, 2018 Mbunge wa Arusha Mjini, kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ameweka wazi kuwa kutoonekana kwa Ben Saanane ni kitu kinachouma sana pamoja na Lissu kuwa hospitali.
 
Kupitia ukurasa wake wa Twitter lema ameandikaKutoka kushoto ni Ben Saanane,Mimi Godbless Lema,Tundu Lissu na Wakili Peter Kibatala..Ben hajulikani alipo na Tundu Lissu yuko Hospitali.Inauma sana,”

ALICHOZUNGUMZA KIBATALA BAADA YA KUACHIWA, AMETAJA KILICHOKUWA KINAKWAMISHA DHAMANA

Chanzo: millardayo.com