Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Manaibu mawaziri wapya waanza kazi kwa kishindo bungeni

Manaibu Mawaziri Wapya Waanza Kazi Kwa Kishindo Bungeni Manaibu mawaziri wapya waanza kazi kwa kishindo bungeni

Mon, 4 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Manaibu mawaziri wapya walioapishwa Ijumaa wiki iliyopita, wameanza kazi bungeni kwa kujibu maswali leo.

Naibu Mawaziri hao ambao kwa nyakati tofauti walijibu maswali ya wabunge katika kipindi cha maswali ni majibu, ni Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Alexander Mnyeti, Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Danstan Kitandula.

Naibu Mawaziri hao kwa nyakati tofauti kila mmoja alitu ia fursa hiyo kumshukuru Rais kwa kumuamini katika majukumu hayo mapya.

Naibu Mawaziri hao kila aliyemaliza kujibu swali alikuwa akipigiwa makofi na wabunge, ikiwa ni ishara ya kuwapongeza.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live