Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mambo sita kutikisa Bunge kesho

100744 Pic+bunge Mambo sita kutikisa Bunge kesho

Mon, 30 Mar 2020 Chanzo: mwananchi.co.tz

Moshi. Mkutano wa 19 wa Bunge la Tanzania unaanza kesho huku mambo sita yakitarajiwa kutikisa mijadala ya Bunge hilo linalofanyika katikati ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa corona.

Bunge la kumi na moja lilizinduliwa na Rais John Magufuli Novemba 20, 2015 na wabunge wanachukulia mkutano wa 19 ambao ni wa bajeti kama ni wa kufa na kupona kupigania maslahi ya wapiga kura wao.

Kuendelea kusoma habari hiiĀ  : SOMA HAPA

Chanzo: mwananchi.co.tz