Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mambo manne aliyozungumza Mgombea Urais wa ADC juu ya Korosho (+video)

WhatsApp Image 2020 10 07 At 19.30.32 660x400.jpeg Mambo manne aliyozungumza Mgombea Urais wa ADC juu ya Korosho (+video)

Thu, 8 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

“Nikipata nafasi Suala la kitandawili kwa wakuliima wa korosho kwa muda mrefu litaisha Nitahakikisha pembejeo bora zinapatikana kwa wakati, kupatikana kwa masoko yasioingiliwa na Utawala” Mgombea Urais Bi Queen Cuthbert Sendiga akiongea na wananchi wa Wilaya ya Lindi, Kijiji cha Mtama

Kupitia Ilani yetu juu ya kuendesha Uchumi wa Kijiditali; manunuzi yatakua ya kidigitali ambapo kutakuwa na ushindani wa wazi upatikanani wa pembejeo kwa wakati na bei muafaka itawezekana ni uboreshaji wa mfumo tu” Mgombea Urais ADC

“Bei ya korosho itakuwa wazi hivyo wakulima watapatiwa fursa ya kuuza korosho yao ama kuitia ushirika au kwa wanunuzi moja kwa moja ili mradi wameshindwa zabuni ya wazi na wakulima kupitia vyama vyao wameridhika” Mgombea Urais ADC

ADC itatathmini upya makato na kodi gandamizi wanayokatwa wakulima ili kuona kama inatija au laa wauza bidhaa nyingine hawaingiliwi kati kwa nini wakulima na mazao yao waingiliwe na kupangiwa bei?” Mgombea Urais ADC 

HD: RAIS MAGUFULI AWAFOKEA WACHINA “NI UPUMBAVU, HAMJVAA BARAKOA MNACHELEWESHA MKATWE HELA”

Chanzo: millardayo.com