Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mambo itakayofanya CHADEMA siku 100 za kwanza ikishinda Urais

WhatsApp Image 2020 08 03 At 09.27.14 660x400 1.jpeg Mambo itakayofanya CHADEMA siku 100 za kwanza ikishinda Urais

Tue, 1 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo September 1, 2020 nimeipitia Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambapo moja ya jambo ambalo nimeona nikusogezee ni mambo ambayo Serikali ya CHADEMA itafanya ndani ya siku 100 za kwanza chini ya Tundu Lissu ikitokea wakishinda Uchaguzi wa October.

Leo September 1, 2020 nimeipitia Ilani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA ambapo moja ya jambo ambalo nimeona nikusogezee ni mambo ambayo Serikali ya CHADEMA itafanya ndani ya siku 100 za kwanza chini ya Tundu Lissu ikitokea wakishinda Uchaguzi wa October. RAIS MAGUFULI “KUNA MGOMBEA ANATOKEA SINGIDA, SIO LAZIMA WOTE TUWE RAIS, TUTAMPA KAZI INGINE”

Chanzo: millardayo.com