Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mambo Yameiva CCM! Majaliwa Akutana na Chongolo

Majaliwa Na Chongolo.jpeg Majaliwa Akutana na Chongolo

Tue, 18 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kassim Majaliwa Majaliwa.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndg. Kassim Majaliwa Majaliwa. Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 18 Januari, 2022 katika Ofisi za CCM Makao Makuu Jijini Dodoma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live