Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makonda asimamisha hotuba kupisha adhana

MAKONDA Makonda asimamisha hotuba kupisha adhana

Thu, 26 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amelazimika kukatisha hotuba yake kwa dakika chache ili kupisha adhana.

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Chama cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda amelazimika kukatisha hotuba yake kwa dakika chache ili kupisha adhana. Tukio hilo limetokea leo Alhamisi Oktoba 26, 2023 jijini Dar es Salaam katika hafla ya mapokezi yake yanayofanyika ofisi ndogo za chama hicho Kirumba jijini Dar es Salaam.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live