Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Makonda amtaka Waziri wa Biashara kuzunguka nchi nzima

Makonda: Lissu Mjanja Makonda amtaka Waziri wa Biashara kuzunguka nchi nzima

Fri, 9 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda, amemtaka Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji, kuzunguka nchi nzima kusikiliza kero za wafanyabiashara.

Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Paul Makonda, amemtaka Waziri wa Viwanda na Biashara, Dk. Ashatu Kijaji, kuzunguka nchi nzima kusikiliza kero za wafanyabiashara. Ametoa agizo hilo mkoa wa Njombe akiwa katika Mwendelezo wa ziara yake ya mikoa 20 Back to Back.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live