Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Magufuli amuita Joshua Nassari amuahidi kazi "njoo uwaombee kura wenzako" (+video)

Video Archive
Thu, 22 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nassari leo amemuomba radhi Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwa mambo aliyoyafanya akiwa upinzani.

Aliyekuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA, Joshua Nassari leo amemuomba radhi Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli kwa mambo aliyoyafanya akiwa upinzani. Nassari alihamia CCM akitokea CHADEMA July 2020, miezi kadhaa baada ya kuvuliwa Ubunge kutokana na kutohudhuria vikao vitatu vya bunge.

Chanzo: millardayo.com