Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

“Macho yako ni balaah, shingo yako sijawahi kuona”

2099 MWIGULU2 660x400

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 27, 2018  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dr.Mwigulu Nchemba amezindua kampeni za uchaguzi mdogo katika jimbo la Kinondoni na kumnadi mgombea wa Chama cha Mapinduzi Maulid Mtulia.

“Twendeni tukapige kura kwa uzito ule ule kwamba ni jambo la msingi, la kitaifa na jambo la chama chetu lenye maslahi mapana. Tutakapo tawanyika hapa kila mmoja awe kampeni meneja wa mgombea wetu na aje na wapiga kura “-Mwigulu.

Pia akawasisitiza kuwa Ilani inayofuatwa ni ya CCM ” Ilani ya uchaguzi iliyochaguliwa ni ya CCM na itatekelezwa hadi  2020, asitokee mtu ambaye atawadanganya, kumpigia kura mtu wakati hana ilani inayotekelezeka ni sawa na kupigia kivuli wakati kuna mtu”



DR. MWIGULU NCHEMBA NA WASIRA KATIKA UZINDUZI WA KAMPENI ZA CCM KINONDONI

SALIM MWALIM ALIVYOSIMAMA KATIKA JUKWAA KUOMBA KURA



 

 

Chanzo: millardayo.com