Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maandamano ya Chadema yapamba moto

CHADEM A MAANDAMANO.png Maandamano ya Chadema yapamba moto

Mon, 22 Apr 2024 Chanzo: mwanachidigital

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe akiwasili kata ya Kashai mjini Bukoba kwa ajili ya kuongoza maandamano ya amani yanayopita maeneo mbalimbali Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, leo Jumatatu Aprili 22, 2024.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Freeman Mbowe akiwasili kata ya Kashai mjini Bukoba kwa ajili ya kuongoza maandamano ya amani yanayopita maeneo mbalimbali Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera, leo Jumatatu Aprili 22, 2024. Mbowe ameambatana na viongozi kadhaa akiwamo Mwenyekiti wa Kanda ya Ziwa Victoria, Ezekia Wenje, Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA) taifa John Pambalu na wengineo.

Chanzo: mwanachidigital