Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Maamuzi ya ACT Wazalendo kuhusu kujiunga na UKAWA

1238 Addo3 660x395.png TZW

Sun, 7 Jan 2018 Chanzo: millardayo.com

Leo January 7, 2018 Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha ACT Wazalendo  Addo Shaibu ameongea na waandishi wa habari na kutangaza uamuzi wa chama hicho kujiunga na UKAWA katika kupambania Demokrasia na Katiba mpya.

“Tumeazimia mwaka 2018 utakuwa ni mwaka wa kuimarisha ushirikiano na vyama vingine katika kupambana na Demokrasia, sisi ni wahanga wa hali hiyo, tayari kiongozi wa chama amezungumza na Mbowe na Hashimu Rungwe na ataendelea kufanya ivyo kwa vyama vingine,” -Ado Shaibu

WAZAZI WAGOMA KUWASAFIRISHA WATOTO KWENDA SHULE DSM

Chanzo: millardayo.com