Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MWANA FA KUFANYA KAMPENI LEO MUHEZA

FAA.png MWANA FA KUFANYA KAMPENI LEO MUHEZA

Wed, 2 Sep 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Msanii pekee aliyepitishwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi huu wa mwaka 2020, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA anatarajiwa kuzindua kampeni zake kwenye uwanja wa Jitegemee Muheza leo.

Msanii pekee aliyepitishwa na Chama cha Mapinduzi kugombea Ubunge kwenye Uchaguzi huu wa mwaka 2020, Hamisi Mwinjuma maarufu kama Mwana FA anatarajiwa kuzindua kampeni zake kwenye uwanja wa Jitegemee Muheza leo. Wananchi wa Muheza Tanga leo kwa mara ya kwanza watapata nafasi ya kumuona na kumsikiliza Mgombea Ubunge wa Muheza kwa ticket ya CCM .

Chanzo: zanzibar24.co.tz