Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MGOMBEA WA URAIS KUTOKA NLD AFIKA NEC KUCHUKUA FOMU

Image 322.png?fit=727%2C545 MGOMBEA WA URAIS KUTOKA NLD AFIKA NEC KUCHUKUA FOMU

Wed, 19 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mgombea wa nafasi Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha NLD ndugu Maisha Mapya Mchunguzi amejitokeza ofisi za Time ya Taifa ya uchaguzi NEC na kukabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya hio.

Mgombea wa nafasi Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya Chama cha NLD ndugu Maisha Mapya Mchunguzi amejitokeza ofisi za Time ya Taifa ya uchaguzi NEC na kukabidhiwa fomu ya kugombea nafasi ya hio. Mgombea huyu kutoka NLD anakamilisha hesabu ya jumla ya vyama 17 vilivyojitokeza kugombea kwa ngazi ya Urais

Chanzo: zanzibar24.co.tz