Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MGOMBEA WA NCCR MAGEUZI ACHUKUA FOMU YA URAIS NEC

Image 277.png?fit=598%2C584 MGOMBEA WA NCCR MAGEUZI ACHUKUA FOMU YA URAIS NEC

Tue, 11 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Mgombea urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha NCCR-Mageuzi, Yeremia Maganja akiwa na Mgombea Mwenza ni Haji Ambar Khamis amefika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), kuchukua fomu ya urais akiwa ni mgombea wa 15 kuchukua fomu.

Chanzo: zanzibar24.co.tz