Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lowassa ametaka athibitishiwe kama hawatomnyima kura Mgombea wa CHADEMA

3456 0846b3a8 3ff0 40d3 A7cd 7904cf49229d 660x400

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Waziri Mkuu Mstaafu Edward Lowassa alikuwa mkoani Kilimanjaro katika Jimbo la Siha ambapo alipanda Jukwaani kumnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo hilo kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Elvis Mosi.

Akizungumza katika jukwaa hilo Lowassa amewaomba wakazi wa Siha kumchagua Elvis Mosi kuwa Mbunge wa Jimbo hilo. Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama Lowassa akiwataka Wananchi wamthibitishie kama watamchagua Elvis.

“HUU USAJILI WA DIRISHA DOGO WA SANCHEZ USHINDWE WEWE MWENYEKITI” -MWALIM, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Chanzo: millardayo.com