Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lissu amlilia Mbunge wa CCM aliefariki "alinilipia niende Nairobi, alitoa dola 200k (+video)

Fe46bfc3 4051 4da4 Bb54 238b6358196f 660x400.jpeg Lissu amlilia Mbunge wa CCM aliefariki "alinilipia niende Nairobi, alitoa dola 200k (+video)

Tue, 15 Sep 2020 Chanzo: millardayo.com

Mgombea Urais kupitia chama Cha CHADEMA Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Njombe katika Viwanja vya National Housing ametoa pole kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo la Mpendae Salim Turk ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo.

Mgombea Urais kupitia chama Cha CHADEMA Tundu Lissu akiongea na wananchi wa Njombe katika Viwanja vya National Housing ametoa pole kufuatia kifo cha Mbunge wa Jimbo la Mpendae Salim Turk ambaye amefariki usiku wa kuamkia leo. “Wakati nilipopata matatizo, Marehemu Salim Turky alimuendea Mwenyekiti Mbowe akamwambia Mwenyekiti mimi nitatoa dola za Marekani laki moja ili ndege ipatikane mimi nipelekwe Nairobi” Tundu Lissu

Chanzo: millardayo.com