Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lipumba: Tanzania tuna siasa za fedha

Lipumbaaapic Data Lipumba: Tanzania tuna siasa za fedha

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

"Bahati mbaya Tanzania tuna siasa za kuunga mkono watu na kuunga mkono fedha, sasa ni lazima tuwe na siasa za hoja na sera kwa sababu hatusimamii watu bali tunasimamia utatuzi wa matatizo yanayoikabili nchi yetu na kimsingi matatizo yetu kukuza uchumi utakaotokomeza umaskini na kujenga misingi imara kwa wananchi wote, tukiwa na msingi bora wa demokrasia tutakuwa na amani ya kweli na amani iliyo endelevu kwani matumaini yangu katika mjadala huu tunabadilishana mawazo kwa lengo la kujenga na kutazama mustakabali wa nchi yetu tukielewa matatizo yanayotukabili na hususani matatizo mazima ya kuweza kutokomeza umaskini na kujenga misingi imara ya demokrasia" -Prof. Lipumba

"Bahati mbaya Tanzania tuna siasa za kuunga mkono watu na kuunga mkono fedha, sasa ni lazima tuwe na siasa za hoja na sera kwa sababu hatusimamii watu bali tunasimamia utatuzi wa matatizo yanayoikabili nchi yetu na kimsingi matatizo yetu kukuza uchumi utakaotokomeza umaskini na kujenga misingi imara kwa wananchi wote, tukiwa na msingi bora wa demokrasia tutakuwa na amani ya kweli na amani iliyo endelevu kwani matumaini yangu katika mjadala huu tunabadilishana mawazo kwa lengo la kujenga na kutazama mustakabali wa nchi yetu tukielewa matatizo yanayotukabili na hususani matatizo mazima ya kuweza kutokomeza umaskini na kujenga misingi imara ya demokrasia" -Prof. Lipumba Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia nchini (TCD) ambaye pia ni Mwenyekiti wa CUF Taifa Prof. Ibrahim Lipumba amezungumza hayo wakati akifungua kongamano la majadiliano rika baina ya viongozi vijana wa vyama vya siasa leo, Jumatatu Machi 11.2024

Chanzo: www.tanzaniaweb.live