Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lipumba: Napata wasiwasi kanuni zipi zitatumika uchaguzi Serikali za Mitaa

Lipumbaaapic Data Lipumba: Napata wasiwasi kanuni zipi zitatumika uchaguzi Serikali za Mitaa

Mon, 11 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi.

Mwenyekiti wa Kituo cha Demokrasia Tanzania(TCD), Profesa Ibrahim Lipumba amesema kuwa anapata wasiwasi kwamba uchaguzi wa serikali za mitaa, unaweza kuwa kama wa mwaka 2019 au utakua tofauti, kwa kuwa haijulikani utatumia kanuni zipi. Lipumba ametoa kauli hiyo leo Machi 11, 2024 wakati wa majadiliano yaliyoandaliwa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) lilokuwa linaangazia changamoto zinazowakabili vijana wa sasa kwenye siasa za uongozi na kujenga uelewa wa pamoja kati ya vizazi tofauti ili kuleta mabadiliko mazuri katika sera za nchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live