Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lema apita kura za maoni kugombea ubunge Arusha mjini

Lemaaa 660x400 Lema apita kura za maoni kugombea ubunge Arusha mjini

Sun, 19 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameshinda kwenye kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 181 kati ya kura 207 hivyo anakuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CHADEMA kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini.

Aliyekuwa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema ameshinda kwenye kura za maoni za chama hicho kwa kupata kura 181 kati ya kura 207 hivyo anakuwa mgombea atakayepeperusha bendera ya CHADEMA kugombea ubunge jimbo la Arusha mjini. Lema alikua akichuana na Diwani wa Sombetini Arusha, Binamu Bananga kutoka CHADEMA.

Chanzo: millardayo.com