Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

TV

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Lema: Kumekuwepo na Matukio Mengi ya Hatari Nchini

LEMA WEB Lema

Fri, 14 Jan 2022 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema kuwa inabidi ufanyike utafiti wa haraka wa afya ya akili za watu, kufuatia uwepo wa matukio mengi nchini ya watu kujiua, watoto kuua wazazi wao ama wazazi kuua watoto wao.

Aliyewahi kuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, amesema kuwa inabidi ufanyike utafiti wa haraka wa afya ya akili za watu, kufuatia uwepo wa matukio mengi nchini ya watu kujiua, watoto kuua wazazi wao ama wazazi kuua watoto wao. Rai hiyo ameitoa kupitia ukurasa wake wa Twitter, hii leo Januari 14, 2022; “Kumekuwepo na matukio mengi ya hatari nchini, watu kujinyonga, watoto kuua wazazi, wazazi kuua watoto pia na ulevi wa kupindukia, kuna hitajika utafiti wa haraka wa afya ya akili za watu, ugumu wa maisha na kupoteza matumaini kumeongeza msongo wa mawazo na uchungu, ni hatari sana, “ ameandika Lema.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live