Fri, 28 Apr 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Bunge la 12, mkutano wa 11, kikao cha kumi na tano linaendelea leo Aprili 28, 2023 bungeni jijini Dodoma. Ni kipindi cha maswali na majibu. Wabunge wanaiuliza Serikali maswali kuhusu changamoto mbalimbali za kwenye majimbo yao na mawaziri wanawapa majibu.