Mon, 24 Apr 2023
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Vikao vya Bunge la 12, vinaendelea leo Aprili 24, 2023 Bungeni jijini Dodoma. Baada ya kupita kipindi cha maswali na majibu sasa, Bajeti ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira inajadiliwa baada ya Waziri mwenye dhamana, Seleman Jafo kuwasilisha.