Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

LISU ACHUKUA FOMU YA URAIS

Image 246.png?fit=569%2C320 LISU ACHUKUA FOMU YA URAIS

Sat, 8 Aug 2020 Chanzo: zanzibar24.co.tz

Baaba ya wagombea kutoka vyama mbalimbali vya siasa nchini kuchukua fomu ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania NEC Mgombea mwengine kutoka CHADEMA, Tundu Lissu akiwa ameambatana na Mgombea Mwenza, Salum Mwalimu amechukua fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi hiyo katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) jijini Dodoma.

Chanzo: zanzibar24.co.tz