Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kura zaendelea kuhesabiwa Mbarali

Kuraaa.png Kura zaendelea kuhesabiwa Mbarali

Wed, 20 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Zoezi la kuhesabu kura linaendelea kufuatia uchaguzi mdogo wa Ubunge uliofanyika hapo jana katika jimbo la Mbarali mkoani Mbeya.

Wagombea 13 kutoka vyama mbalimbali wanachuana katika kinyang'anyiro hicho.

Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo la Mbarali umefanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo Francis Mtega kilichotokea Julai Mosi mwaka huu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live