Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinondoni tutafanya Bonge la Collabo hapa Ruge pale Diamond’ Mtulia

3453 Mtulia 1 660x388

Mon, 26 Feb 2018 Chanzo: millardayo.com

Alikuwa Mbunge Kinondoni akaacha Maulid Mtulia sasa anagombea tena katika Jimbo hilo ikiwa saivi  anagombea kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) February 16, 2018 alifunga kampeni katika uchaguzi unaofanyika leo.

Akinadi sera zake amewataka Wakazi wa Kinondoni kumuamini na ataboresha Maisha ya wananchi ikiwa ni kuwapa mikopo ya aina mbalimbali, nimekusogezea Dakika 5 za Mtulia akiwa katika Jukwaa.

“MAGUFULI UKIMUONA NI MDOGO LAKINI CHUMA CHA MKOLONI” -DR. MOLEL, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMTAZAMA

Chanzo: millardayo.com