Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kinana afungua mafunzo wajumbe wa NEC CCM

Kinana Ccm Dsg Kinana afungua mafunzo wajumbe wa NEC CCM

Tue, 28 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana amefungua mafunzo ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambapo pamoja na mambo mengine Wajumbe Wanafundishwa mambo mbalimbali yanayohusu Uongozi na Maadili.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Abdulrahman Kinana amefungua mafunzo ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, ambapo pamoja na mambo mengine Wajumbe Wanafundishwa mambo mbalimbali yanayohusu Uongozi na Maadili. Lengo la mafunzo hayo yanayofanyika mkoani Dar es Salaam ni kuongeza uwezo na ufanisi kwa Viongozi kuwajibika kwa Chama na Serikali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live