Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

"Kilimo ndio tiba pekee ya maendeleo ya kweli" Mgombea ADC (+picha)

WhatsApp Image 2020 10 06 At 20.43.33 660x400.jpeg "Kilimo ndio tiba pekee ya maendeleo ya kweli" Mgombea ADC (+picha)

Wed, 7 Oct 2020 Chanzo: millardayo.com

Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ADC, Queen Cuthbert Sendiga ameendelea na Mikutano ya Kampeni katika Wilaya ya Liwale.

Queen ameelezea kiundani na kusisitiza katika kipaumbele chake cha Kilimo, akiwasihi wananchi kwamba maboresho katika sekta hiyo ni ya muhimu na ndio tiba pekee ya kuwapelekea maendeleo ya kweli.

Amewaomba ikifika siku ya kupiga kura 28/10/2020 wakampe kura ya ndio na wamuamini ili aende kuwatumikia na kuwaletea maendeleo ya kweli.

RAIS MAGUFULI APIGA SIMU LIVE MKUTANONI “PUUZENI HILO TANGAZO NI LA KIPUMBAVU”

Chanzo: millardayo.com