Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kilichowapeleka Zitto, Mutungi Bungeni leo...

Mutungi Zitto (600 X 376) Zitto, Mutungi watinga Bungeni leo

Fri, 10 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi, Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe pamoja na wadau mbalimbali wa siasa wakiwa bungeni leo Ijumaa, Novemba 10, 2023 ambapo miswada mitano itasomwa kwa mara ya kwanza.

Miswada hiyo ni pamoja na Muswada wa Sheria ya Uwekezaji wa Umma wa Mwaka 2023, Muswada wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa Mwaka 2023, Muswada wa Sheria ya Tume ya Uchaguzi wa Mwaka 2023.

Nyingine ni Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria Mbalimbali (Na.5) wa Mwaka 2023 [TheWrittenLaws (Miscellaneous Amendments) (No.5) Bill, 2023], pamoja na Muswada wa Sheria ya Marekebisho ya Sheria za Vyama vya Siasa wa Mwaka 2023

Chanzo: www.tanzaniaweb.live