Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Katibu Mkuu mpya CUF “Waliochoma bendera na kufuta rangi zetu tumefungua kesi”

Thu, 28 Mar 2019 Chanzo: --

Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Wananchi CUF Khalifa Suleiman Khalifa akiongea na Waandishi wa habari amesema Chama hicho tayari kimefungua kesi katika Mahakama Kuu ya Vuga kwa wale waliohusika na kuchoma bendera, kufuta rangi za CUF na waliopachika bendera za ACT katika Ofisi zao.

Namnukuu “Tumekusanya ushahidi wa yote yaliyofanyika, majina ya waliofanya vitendo vya kufuta rangi za Chama chetu, waliochoma moto bendera zetu, waliopachika bendera za ACT isivyokuwa halali ktk Ofisi zetu, ushahidi umekamilika, tumefungua kesi ktk Mahakama Kuu ya Vuga” Katibu Mkuu CUF

Taarifa hii ya Katibu Mkuu Khalifa imetokea kukiwa na mvutano katika ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa na Chama cha ACT Wazalendo juu ya matuko hayo.

LIVE: ZITTO KABWE AJIBU ISHU YA MSAJILI KUTAKA KUKIFUTA CHAMA CHA ACT WAZALENDO

RELATED ITEMSTZA HABARI SHARE TWEET SHARE SHARE COMMENTS ? PREVIOUS STORY Dereva asafirisha matofali kwenye Ambulance NEXT STORY ? Dereva aweka wazi Bibi alivyozuia pikipiki na gari kuwaka na kushindwa kuondoka stand (+video)SOMA NA HIZIMAGAZETI LIVE: Vigogo CHADEMA, ACT wateta, Mahakama ya Mafisadi yaanza kazi kwa kishindo

Chanzo: --