Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Katibu Mkuu Bashiru afunguka wanaoacha nafasi zao kwenda kugombea (+video)

107041265 Bashiruccm Katibu Mkuu CCM, Dr. Bashiru Kakurwa

Fri, 17 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo July 17, 2020 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dr. Bashiru Ally Kakurwa ameweka wazi msimamo wake wa kutogombea nafasi yoyote katika Chama hicho kwani ameridhika na nafasi aliyonayo.

“Mimi sigombei na siwezi kugombea, nimeshakuwa Katibu Kuu nagombea cheo gani?, cheo gani cha maana kuliko kazi hii ya kusimamia haki katika Chama” Katibu Mkuu CCM, Dkt.Bashiru

“Ukishakuwa kiongozi hutakiwi kuwa na tamaa ndio ujumbe Mwenyekiti ametuambia, unatakiwa kutosheka ndio moja ya sifa za kiongozi, tosheka na dhamana uliyopewa na uikamilishe hiyo dhamana na upimwe kwa dhamana hiyo sio unatangatanga tu” Dkt. Bashiru Ally

Chanzo: millardayo.com