Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kampeni ya CCM: Mishahara haiwezi kupanda kwa hela za kukopa (+Video)

Mon, 29 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba, amewaomba wakazi wa Kinondoni kuchagua mgombea wa CCM, Maulid Mtulia kwa kuwa mgombea huyo anasifa zote za kuchaguliwa kuwa Mbunge wa eneo hilo.

 

Waziri Nchemba akiwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Biafra jijini Dar es salaam amesema kuwa hakuna haja ya wakazi wa Kinondoni

 

Chanzo: bongo5.com