Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kampeni Kinondoni: CUF waishtaki Chadema (+Video)

Fri, 2 Feb 2018 Chanzo: bongo5.com

Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo Chadema, Benson Kigaila amesema kuwa wamepewa barua mbili za malalamiko na msimamizi wa uchaguzi wa Wilaya ya kinondoni wakidaiwa kuvunja kanuni ya maadili ya uchaguzi: Tazama video hii wakitolea ufafanuzi jinsi walivyopokea barua kutoka msimamizi wa uchaguzi wilaya ya Kinondoni, Aron Kagurumjuli.

Chanzo: bongo5.com