Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kampeni Chadema: Mbunge Zubeda na ishu ya Mtulia kuwa na namba ya Rais

Wed, 31 Jan 2018 Chanzo: bongo5.com

Kampeni za Ubunge jimbo la kinondoni zinaendelea kwa kasi, ambapo leo kamera ya Bongo5 ilipita katika mkutano wa Chadema uliofanyika Morocco Magomeni kumnadi mgombea wao, Salim Mwalimu. Mmoja kati wa viongozi waliozungumza katika kampeni hiyo ni mbunge, Zubeda Sakuru.

Chanzo: bongo5.com