Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamati Kuu ya Chadema kukutana kesho

22586 CHADEMA+PIC TanzaniaWeb

Wed, 17 Oct 2018 Chanzo: mwananchi.co.tz

Dar es Salaam. Kamati Kuu ya Chadema itakutana kesho Oktoba 17,2018  kwenye kikao cha dharura cha kamati kuu ya chama jijini Dar es Salaam.

Taarifa iliyotolewa leo Oktoba 16, 2018 na Mkurugenzi wa Itifaki, Mawasiliano na Mambo ya Nje wa Chadema, John Mrema imeeleza kikao kitakuwa na agenda kuu ya kujadili na kuazimia kuhusu masuala mbalimbali yanayoendelea ndani na nje ya chama .

“Tutatoa taarifa rasmi juu ya maazimio ya kikao hiki kitakapomalizika,” amesema Mrema katikia taarifa hiyo

Chanzo: mwananchi.co.tz