Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kamati Kuu CCM yampitisha Cherehani kugombea jimbo la Kwandika

 KTC0172 Emmanuel Cherehani, Mgombea wa Ubunge Jimbo la Ushetu

Fri, 10 Sep 2021 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kamati kuu ya CCM Taifa iliyoketi leo mjini Dodoma chini ya Mmwenyekiti na Rais Samia Suluhu imempitisha Emmanuel Cherehani kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga katika uchaguzi mdogo baada ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo ambae pia alikua Waziri wa Ulinzi Elias Kwandikwa kufariki Dunia

Pia, Kamati kuu ya chama cha Mapinduzi CCM Taifa imempitisha Mbarouk Habibu ameteuliwa kuwa mgombea jimbo la Konde

Jimbo la ushetu lilibaki wazi baada ya aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo, Elias Kwandika kufariki dunia, huku jimbo la Konde likiwa wazi mara baada ya Mbunge wake,Sheha Mpemba Faki kujiudhulu nafasi hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live