Habari

Burudani

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kafulila ashindwa kwenye kura maoni Kigoma Kusini

A9029963 B3c7 43ab 9e48 Dbd2cc7259d9 660x400 Kafulila

Tue, 21 Jul 2020 Chanzo: millardayo.com

Leo July 21, 2020 Hasna Mwilima amefanikiwa kuongoza katika kura za maoni katika Jimbo la Kigoma Kusini kupitia CCM kwa kupata kura 273 huku nafasi ya pili ikishikiliwa na Nashon Bidyanguze aliyepata kura 143.

Aliekuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe David Kafulila amepata kura 64.

Kutokana na matokeo hayo, Hasna Mwilima anaweza kupata dhamana ya kuliwakilisha Jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu, Oktoba 2020.

BREAKING: NDUGULILE AIBUKA KIDEDEA KIGAMBONI, MAKONDA APIGWA CHINI KURA ZA MAONI

Chanzo: millardayo.com